Swahili Language Congregation

Kanisa la lugha ya Kiswahili

Jambo ndugu na jamaha!

Tunawajulisha wote ya kwamba , Kanisa la lugha ya Kiswahili la West Springs Church lilianza mwaka wa 2021 , kama njia ya kutoa fursa kwa watu wanaozungumza lugha hii , ili waweze kuabudu na kusifu Mwenyezi Mungu katika lugha yao ya asili ambayo wanaielewa zaidi.

Kanisa hili la kiswahili, linaongozwa na Mchungaji Jules Lusambya , na munakaribishwa wote katika Bwana, tunakutanana hapa kanisani mara mbili kwa wiki , kila siku ya Jumamosi saa kumi na moja jioni (5:00 PM) kwa maombi ya maitaji mbali mbali , na kila Jumapili asubuhi saa tano ya nusu ya asubuhi (11:30 AM) kwa ibada ya kawaida.

Kila mwisho wa mwezi , tunakuwa na kanisa la pamoja, makutaniko ya lugha ya Kiingereza na lugha ya Kiswahili huungana pamoja kusherehekea ushirika katika huduma ya lugha mbali mbali. Ikiwa una maswali, unatafuta maombi au kushiriki pamoja nasi, munakaribishwa wote nyumbani mwa Bwana.

Unaweza kututumiya ujumbe wala itaji la maombi kupitiya email yetu: swahili@westsprings.church.

Mungu awabariki.

Amen.

Jambo! West Springs Church Swahili language congregation began in 2021 as a means to provide opportunities for individuals who speak this unique language to worship in their language.

Led by Pastor Jules Lusambya, this small but vibrant congregation are ready to welcome you on Saturdays at 5pm for prayer and Sunday mornings at 11:30 for praise, prayer and worship.

Each month the English language and Swahili language congregations join together to celebrate communion in a multilingual service.  If you have questions, are seeking prayer, or are looking for a church home, email: swahili@westsprings.church.

God bless you. Amen.